Mabalozi wa Nchi za Ulaya watahudhuria Sherehe za Kuapishwa Rais SMZ?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
48,957
151,032
Hili tukio nalisubiri sana kuona kama wazungu hawa watatia mguu katika sherehe hizi.

Mabalozi wa nchi za kiafrika wao na nchi zao wanajulikana wanachosimamia kuhusu demokrasia hivyo nataraji watakuwepo kwa wingi hiyo kesho.
 
Dr Shein ni Rais wa SMZ. Ulaya wa kazi gani? Wakitaka waende,wasipoenda hewala,watatupunguzia budget na mlolongo wa itifaki. Hii ndo demokrasia yetu,mkubwa hakosei.
 
Hapo sana sana wageni wasiokosekana ni Fahami Dovutwa na Hamadi Rashidi, pia Dovutwa sidhani kama atakuwa na access ya Magogoni kirahisui kwenye regime hii.
 
Hata tukitaka kujifariji vipi, mataifa ya Ulaya na Amerika yapo 1000 km ahead of the blackened continent. Na maendeleo yao yamefikiwa kwa sababu wamejitengenezea muundo ambao hauruhusu uwepo wa udikteta unaoweza kuukaribia huu wa kiafrika. Tume zao za uchaguzi zinaongozwa na watu wenye akili, utashi, upeo, uzalendo na weledi siyo na watu wanaomkaribia Jecha.
 
Hili tukio nalisubiri sana kuona kama wazungu hawa watatia mguu katika sherehe hizi.

Mabalozi wa nchi za kiafrika wao na nchi zao wanajulikana wanachosimamia kuhusu demokrasia hivyo nataraji watakuwepo kwa wingi hiyo kesho.
Tena nafuu wasiwepo,kwani wao wanapowaapisha marais wao huwa wanatualika? Na je,wasipokuja rais wa z'bar hataapishwa? That is nonsense.
 
Hili tukio nalisubiri sana kuona kama wazungu hawa watatia mguu katika sherehe hizi.

Mabalozi wa nchi za kiafrika wao na nchi zao wanajulikana wanachosimamia kuhusu demokrasia hivyo nataraji watakuwepo kwa wingi hiyo kesho.
Hata kama dunia nzima ikishuka hapo wakiwemo Obama, Cameron na Putin hawapunguzi uharamu wa mchakato na tukio lenyewe; Haramu ni Haramu milele! Muislamu hawezi kuhalalisha kula nguruwe eti kwa sababu kakaribishwa na Rais JPM! HARAMU BIN HARAMU, period
 
Dr Shein ni Rais wa SMZ. Ulaya wa kazi gani? Wakitaka waende,wasipoenda hewala,watatupunguzia budget na mlolongo wa itifaki. Hii ndo demokrasia yetu,mkubwa hakosei.

Watakupunguzien budget..?
Haihitaji hat elimu ya shule ya msing kugundua uekewa wako ktk mambo ya mataifa
 
watakao hudhuria ,Museveni , Nkurunziza , Mugabe, Kenyatta huenda akatumwa mwakilishi
 
Siyo lazima waende. Mbona alipoapishwa rais Magufuli viongozi wa vyama vikuu vya upinzani hawakwenda na zoezi lilienda poa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…