Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,699
- 149,927
[HASHTAG]#pepsin[/HASHTAG] ."sample ya majaribio"Tanzania imekuwa sample ya majaribio
Sijui wamemshirikisha nani katika hili.Mabadiliko hayo makubwa yanataka kuwepo na mjadala wa washikadau kwa nchi nzima. Siyo uamuzi wa watu wachache.
Ni kwel mkuu mwaka jana baadhi ya walimu walipelekwa semina september/october kwa ajili ya hayo mabadiliko na wakaambiwa hakutakua na mitihan ya kumaliza shule ya msingi,ukimaliza la sita unaunganisha form 1 hadi form four. Sasa hyo elimu sijui itakuaje..Gazeti la Mtanzania linaripoti katika ukurasa wa mbele habari ya mabadiliko elimu ya msingi ambapo kuna uwezekano wa elimu ya msingi kuishia darasa la sita huku masomo yakipunguzwa.
Chanzo: Mtanzania
Lakini inaweza kuwa sawa tu 6:4:2:3or 4Ni sharti la nchi moja ya ulaya nadhani Finland kama sijakosea inayotaka kutoa ufadhili wa elimu kuanzia chekechea hadi form four.
Ndio wanaolazimisha kama tunataka watufashili basi elimu ya msingi iwe mwisho darasa la sita kisha elimu ya msingi kwa ujumla iishie form four, kwamba kila mtoto anaeanza darasa la kwanza lazima afike form four. form six hadi chuo ni elimu ya hiyari.
Huo mpango waliiuintroduce kwa zanzibar miaka kadhaa iliyopita sijajua kama umeanza huko au la,nadhani pia ndio hao wanaotaka hayo mabadiliko yafanyike hata huko Tanganyika ili watoe ufadhili.
Hii nchi inafadhiliwa hadi elimu, sijui sisi tunaweza kujisimamia kwenye nini kama mambo ya msingi tu hatuwezi kujisimamia hadi tupate ufadhili.