Maaskofu wenzao huko kongo wameokoa taifa wao wanafanya nini?
Mbona wakati wa jk walitoa matamko ya kukemea kwa nini sasa wako kimya? au kwa kuwa ni mwenzetu.....?
Kuna vitu vya kuongea hadharani na vingine mtu anasemea chumbani. Askofu anapobariki au anapokemea kitu husema hadharani! Anapolaani kitu hasemi hadharani bali husema mbele za Mungu anaposali., hadharani hubaki kimya bila maoni yoyote!
Ujue amna atajaenda kwa Mtakatifu alafu akakosoa uso kwa macho, angalia listi Wa waliokosoa na kufika uso kwa macho Mwinyi nchi inaongozwa kama gari bovu=unaongoza vizuri sana mambo yaliotushinda sisi wewe kwa mwaka 1.
Siasa