de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 1,952
- 4,375
Sijakulia miaka ya 90, ila ukweli zama hizi watu wana information nyingi bila maarifa...
Zamani unakutana mtu katoka chuo, kweli yuko confident na kile amesoma, ila siku hizi hadi form4 leaver hatofautiani na mwanachuo kabisa.
Je nini tatizo? Kwa experience watu wanamaliza chuo bila experience, ni vile tu GPA na coursework zinafanywa na chatgpt!!!
Je ni mifumo ya elimu? Utandawazi? Au ndo collapse ya educational systems? Na kama ni kweli tuvute picha miaka 10 ijayo mambo yatakuaje?