Maandamano ya presidents must go yalipangwa yafanyike Afrika Mashariki. Kenya na Uganda wameshindwa wanajaribu Tanzania

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
5,790
11,689
Walitaka kuiga Arab Spring ambako nchi nyingi za kiarabu zilipinduliwa kwa mpigo inaanza hii inakuja hii nk

Maandamano ya presidents must go yalipangwa yafanyike kwa mpigo Kenya, Uganda na Tanzania .Kenya na Uganda wameshindwa wanajaribu Tanzania

Ilianza Kenya ya Ruto must go wakaandamana imeshindikana Ruto kuondoka

Ikaenda Uganda ya Museveni must go wakaandamana imeshindikana Museveni kuondoka

Sasa wameingia Tanzania na Samia must go hiyo tarehe 23 kujaribu Tanzania kama wataweza
 
Back
Top Bottom