Maana ya ndoto ya kutembea uchi mbele za watu, mrejesho

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
615
2,254
Kwanza kabisa niwashukuru wana jamiiforms kwa kunifumbulia maana ya ndoto hii, ukweli upo hivi, toka nianze maisha na make wangu sijawahi chepuka nje na mke wangu ni miaka miwili sasa imepita, na watu wengi mpaka ndani ya familia yangu wananisifiaga kuwa Mimi ni mtu wa pekee sana kwani sipo kama vijana wengi wa sasa walivyo wa kutokuridhika na wake zao pia nimekuwaga mstari wa mbele wa kuwaelimisha watu waache kuchepuka.

Lakini hivi karibuni kuna binti nilizoeana nae akawa akija ofisini kwangu namtengenezea simu bure namrushia movie bure hii ni kutokana tu na yeye kuishi kwa kaka yake hivyo kaka yake hawezi mpa pesa kila wakati na nilikuwa namsaidia tu kama jirani pia maana hata maji ya kunywa naomba kwao muda mwingine yaani ofisi yangu ipo kwenye nyumba wanayoishi.

Sasa jana tukiwa wawili tunaangalia movie mvua ikaanza kunyesha nikaingia tamaa nikamuomba mzigo akaniambia sawa halina shida wewe funga tu mlango, kabla dijafunga mlango nikamuulizia kuhusu kinga akaniambia alikuwa amepandikiza kijiti ila alipokuja mjini akakitoa sasa toka amekitoa hajaona siku zake ni mwezi sasa, hapo machale yakanicheza nikamwambia tuache tu.

Sasa nimeamua kuliweka hili kulingana na comment nyingi za wadau wakiniambia kwamba soon naenda kuaibika kulingana na ile ndoto niliyoota.
 
Sasa unamuuliza dem kuhusu condom? Si ungeenda kutafutq mwenyewe
 
Subiri huyo unaesaidia akupake mkaa na damu ya kunguni ili wakutambue kama wewe sio msaliti wa ndoa. ( Mimba ni yako), Na usibishe.
 
Back
Top Bottom