Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,709
- 18,061
1-huna uhakika na kula na una elfu moja pekee ulionayo unaamua kunywa viroba. 2-huna kitanda na unaamua kuoa hayo pia ni maamuzi magumu. 3-huna uwezo wa kumlisha mkeo na unampa ujauzito ni maamuzi magumu. 4-shule haina walimu unampeleka mwanao pia ni maamuzi magumu. 5-daladala imejaa mpaka mlangoni na unaamua kupanda ni maamuzi magumu. 6-unalipwa laki 2 unamuhonga binti laki moja hayo ni maamuzi magumu. 7-kama utasoma hapa na ukashindwa kuandika maamuzi magumu unayoyajua utakuwa una maamuzi magumu mno
Kupost huu uzi MMU wakati unatakiwa ukae Chit Chat ni maamuzi magumu mno1-huna uhakika na kula na una elfu moja pekee ulionayo unaamua kunywa viroba. 2-huna kitanda na unaamua kuoa hayo pia ni maamuzi magumu. 3-huna uwezo wa kumlisha mkeo na unampa ujauzito ni maamuzi magumu. 4-shule haina walimu unampeleka mwanao pia ni maamuzi magumu. 5-daladala imejaa mpaka mlangoni na unaamua kupanda ni maamuzi magumu. 6-unalipwa laki 2 unamuhonga binti laki moja hayo ni maamuzi magumu. 7-kama utasoma hapa na ukashindwa kuandika maamuzi magumu unayoyajua utakuwa una maamuzi magumu mno
Duuh,kwani wanafunzi wa sheria UDOM ndio wako hivi?ww mtoa mada ni mwanafunz wa sheria udom? gh hussa
unampangiakuiweka thread yako hapa wakati jukwaa la jokes lipo ni maamuzi magumu sana