Ukilinganisha maambukizi ya ya Ukosefu wa Kinga Mwilini(UKIMWI),kati ya nchi za mashariki ya kati na Afrika iliyo kusini mwa jangwa la Sahara ya 5%,kuna utofauti mkubwa sana.Kwa nini tusifuate njia wanazotumia nchi hizi zenye kiwanho kidogo cha maambukizi,ili kupunguza maambukizi ya ugonjwa huu hatari.