Maalim nash aka Nash Mc

genacide

Senior Member
Jan 12, 2017
125
124
Huyu bwana mdogo anajiona anajua sana hip hip,yaani anajiona kama vile kazaliwa new york.anatakiwa ajue hip hop ni utamaduni wa waafrika waliopelekwa america kipindi cha slave trade,so katika kuhaha huku na huku baada ya kupoteza identity zao wakajikuta wanagundua hip hop,so we mtu wa tanzania huku angalia ishu za utamaduni wako stop being a slave,huwez kuwa vin paz,huwez talib kweli,huwez kuwa afrika bambataa or krs one.you are just a tanzanian in tanzania,period.dogo anajiona makaveliiiii anathubutu hadi kumtukana profesa jay kisa singeli.sasa singeli inaweza kuwa identity yetu lakini si hip hop.hatujaiga popote singeli ni zao letu la uswazi,ni kama kina masicka na dancehall jamaica.wenzetu kina mode 9 nigeria,tey green malawi wapo real sana,wanaimba hip hop ila wanamix na vya kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…