MUJAARABWewe mtoa mada hujui biashara ya mpira
Mpira sio mataji tu ,mpira una mambo mengi sana ,mataji ni sehemu tu
Nakupa mfano , unajua
Bingwa wa EPL anapewa zawadi ya £38m
Lakini man utd walimsajili pogba kwa £ 89m
Lakin uliwahi jiuliza MAN UTD walilenga nini zaidi?
Sasa man utd hiyo hela ilirud na zaidi ya hapo na hawakuchukua EPL hata nne bora hakuwepo
BIASHARA YA MPIRA NI PANA KULIKO UNAVYOFIKILIA
USIJE KUDHANI HATA SIKU MOJA KUWA USAJILI WA WACHEZAJI NA BAJET YA TIMU ,INALENGA KURUDISHWA KWA KUTWAA MAKOMBE ,
NA NDIO MAANA INAHITAJIKA MANEJIMENT NZURI YA BIASHARA YA MPIRA
HIKI NDICHO KILICHOMTOKEA AZAM FC
SASA HIVI INAKUFA KIBUDU
Saaed KawembaWewe mtoa mada hujui biashara ya mpira

pita
Labda wanarudisha hizo hela kwa kupitia viingilio,may be mpaka ligi iishe hela ya viingilio ni zaidi ya kombe na zaidi ya hela ya kununua wachezajiWewe mtoa mada hujui biashara ya mpira
Mpira sio mataji tu ,mpira una mambo mengi sana ,mataji ni sehemu tu
Nakupa mfano , unajua
Bingwa wa EPL anapewa zawadi ya £38m
Lakini man utd walimsajili pogba kwa £ 89m
Lakin uliwahi jiuliza MAN UTD walilenga nini zaidi?
Sasa man utd hiyo hela ilirud na zaidi ya hapo na hawakuchukua EPL hata nne bora hakuwepo
BIASHARA YA MPIRA NI PANA KULIKO UNAVYOFIKILIA
USIJE KUDHANI HATA SIKU MOJA KUWA USAJILI WA WACHEZAJI NA BAJET YA TIMU ,INALENGA KURUDISHWA KWA KUTWAA MAKOMBE ,
NA NDIO MAANA INAHITAJIKA MANEJIMENT NZURI YA BIASHARA YA MPIRA
HIKI NDICHO KILICHOMTOKEA AZAM FC
SASA HIVI INAKUFA KIBUDU
ndio hivo hizi timu za ulaya zinafanya biashara sanaLabda wanarudisha hizo hela kwa kupitia viingilio,may be mpaka ligi iishe hela ya viingilio ni zaidi ya kombe na zaidi ya hela ya kununua wachezaji
Hiyo hela ilirudi vipi? Fafanua.Klabu kupata hela zaidi ya hiyo haina maana kwamba Pogba asingesajiliwa wasingepata hela waliyopata!!!Wewe mtoa mada hujui biashara ya mpira
Mpira sio mataji tu ,mpira una mambo mengi sana ,mataji ni sehemu tu
Nakupa mfano , unajua
Bingwa wa EPL anapewa zawadi ya £38m
Lakini man utd walimsajili pogba kwa £ 89m
Lakin uliwahi jiuliza MAN UTD walilenga nini zaidi?
Sasa man utd hiyo hela ilirud na zaidi ya hapo na hawakuchukua EPL hata nne bora hakuwepo
BIASHARA YA MPIRA NI PANA KULIKO UNAVYOFIKILIA
USIJE KUDHANI HATA SIKU MOJA KUWA USAJILI WA WACHEZAJI NA BAJET YA TIMU ,INALENGA KURUDISHWA KWA KUTWAA MAKOMBE ,
NA NDIO MAANA INAHITAJIKA MANEJIMENT NZURI YA BIASHARA YA MPIRA
HIKI NDICHO KILICHOMTOKEA AZAM FC
SASA HIVI INAKUFA KIBUDU
Pogba hela yake ilirud haraka sana tena zaid kwa kuuzwa jez ya ibrahimovic kama ni mfatiliaji mzuriHiyo hela ilirudi vipi? Fafanua.Klabu kupata hela zaidi ya hiyo haina maana kwamba Pogba asingesajiliwa wasingepata hela waliyopata!!!
alikua mpiga dili tu pale complexSaaed Kawemba
simba tena mbona ndogo iyoAmpe nani milioni 100?
Ilirudi Siku hiyo hiyo na ilikuwa Mara mbili yake kwa kuuza jezi ya pogba! Ndio maana man u wanachukua mchezaji anaewapa kitu zaidi nje ya uwanja. Hawawezi chukua MTU ka kante hata ka anajua kucheza je nje ya uwanja anawapa nn? Na kwa taarifa yako Manchester licha ya kumaliza nafasi ya sita anatofauti ya euro million Tisa tu na Chelsea mshindi wa kwanza na kampiku arsenal aliemaliza nafasi ya tanoHiyo hela ilirudi vipi? Fafanua.Klabu kupata hela zaidi ya hiyo haina maana kwamba Pogba asingesajiliwa wasingepata hela waliyopata!!!