Kitu ya ajabu sana.
Yaani leo Polisi Morogoro wamepagawa maximum ya macho zile gari ya Matunga zote ya mikutano ya kampeni ya mgombea udiwani Kata ya Kiwanja Ndege manispaa ya Morogoro na kupora laptop master ya matangazo. Tulipofika kituo Kikuu cha polisi kujua hatima ya laptop hiyo na sababu za kuporwa kwake tumeambiwa haiwezekani kurejesha hadi tulipie gharama za mabomu yaliyopigwa na polisi.
Jamani, mabomu watumie polisi, yalipiwe na raia? Kweli?