CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 583
- 1,206
๐บ Mbwa mwitu hali mizoga, iwe ya wanyama au ya binadamu huishi maisha yake yote na mwenzi mmoja, na hafanyi mapenzi na mama yake au dada yake.
Ni mnyama anayejitoa kwa mwenzi mmoja (monogamous) na hacheat.
Ikiwa mwenzi wake anakufa, mbwa mwitu hubaki peke yake.
Anawajua vizuri watoto wake, ni mnyama pekee anayewasaidia wazazi wake wanapokuwa wazee sana kwa kuwapelekea chakula.
โจ Unapomuua mbwa mwitu, hukutazama machoni mpaka roho yake inapomuacha.
Mbwa mwitu ni mwerevu kwa asilimia 25 zaidi ya mbwa hawa wanaofugwa majumbani na ni mnyama pekee ambaye huwezi mfunza kama hawa mbwa wa kawaida.
Mbwa mwitu hufikiri, huota ndoto, hupanga mambo, huwasiliana kwa akili miongoni mwao na wanafanana nasi binadamu zaidi kuliko viumbe wengine wowote.