Maajabu ya lugha ya kingereza (sehemu ya tatu). Sheria ya T zinapokutana

Meneja CoLtd

Member
Mar 6, 2021
91
99
Habari zenu wana JF! Hii makala imebidi niiandike kwaniaba maana nimeona baadhi ya watu hawaijui hii sheria ya T T zinapokutana

katika lugha ya kingereza T zinapokutana basi T moja haitamkwi na T iliyobaki inatamkwa kwa kukazwa.

Mfano: 1. streeT Town.
Neno hili litatamkwa stree 'Town.

2. WhaT Time is it
Neno hili litatamkwa Wha 'Time is it.
NB: Hii sheria sio tu kwenye T T bali hata kwenye herufi nyingine zinapokutana sheria hii hutumika

3. ShoeS Shine
Neno hili litatamkwa Shoe 'Shine, nahii hata wang'arisha viatu huandika shoe shine

Usisahau kuisoma makala yangu ya Tanzania tuitakayo, "UMUHIMU WA ELIMU YA UJASIYAMALI, BIASHARA NA FEDHA KUONGEZA KIPATO NA KUMALIZA UMASIKINI TANZANIA.
 
Hata Kiswahili ipo
Mfano: Mama Mariam = Ma Mariam

Amenipa Kitabu bure = Amenipa kita bure
 
Habari zenu wana JF! Hii makala imebidi niiandike kwaniaba maana nimeona baadhi ya watu hawaijui hii sheria ya T T zinapokutana

katika lugha ya kingereza T zinapokutana basi T moja haitamkwi na T iliyobaki inatamkwa kwa kukazwa.

Mfano: 1. streeT Town.
Neno hili litatamkwa stree 'Town.

2. WhaT Time is it
Neno hili litatamkwa Wha 'Time is it.
NB: Hii sheria sio tu kwenye T T bali hata kwenye herufi nyingine zinapokutana sheria hii hutumika

3. ShoeS Shine
Neno hili litatamkwa Shoe 'Shine, nahii hata wang'arisha viatu huandika shoe shine

Usisahau kuisoma makala yangu ya Tanzania tuitakayo, "UMUHIMU WA ELIMU YA UJASIYAMALI, BIASHARA NA FEDHA KUONGEZA KIPATO NA KUMALIZA UMASIKINI TANZANIA.
kumbe....
 
Back
Top Bottom