Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,520
8,004
Wadau hamjamboni nyote?

Bahari nzuri ya kupendeza ya galilaya imefanana na bara la Afrika

Maji yake Yana baraka kubwa sana

Mungu ibariki Israel

1739396322576.jpg
 
Hivi ziwa Tanganyika na Victoria yaliandikwa kwenye biblia kitabu gani? Mbona tunasoma mambo ya wazungu tu hao?
wao ndyo AUTHORS wa kilakitu (UONGO NA UKWELI), we si unasoma vitabu vyepesi vya SHIGONGO :D
 
Back
Top Bottom