Maafisa Wajifunze kujiunga vifurushi

bowlibo

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
3,205
2,901
Salamu wadau,

Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wajifunze kuweka vocha na kujiunga kwenye vifurushi vya mitandao vya kimataifa.

Hakuna namna nyingine.........asante kapanya
 
Attachments

  • MAGU0001.pdf
    46.7 KB · Views: 60
Wamesafiri kwa awamu zote nne na hakuna cha maana walicholeta zaidi ni kutumbua hela na huku tunawatafuta watusaidie bila mafanikio.

Imagine daktari ambaye alikuwa anakaa mwezi nchini na mwezi mwingine nje, huyu anatufaa? Productivity yake iko wapi?
 
Hizo safari nyingi zilikuwa kwenye falsafa ya umatonya
 
Wamesafiri kwa awamu zote nne na hakuna cha maana walicholeta zaidi ni kutumbua hela na huku tunawatafuta watusaidie bila mafanikio.

Imagine daktari ambaye alikuwa anakaa mwezi nchini na mwezi mwingine nje, huyu anatufaa? Productivity yake iko wapi?

Na wale wabunge walioishia darasa la pili na saba waliokuwa kwenye ziara mbalimbali ughaibuni......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…