A
Anonymous
Guest
Kuna baadhi ya Maafisa wa TRA, TAA upande wa Airport Export wanasumbua wateja.
Bila ya kuwatoa hupati release ya mzigo wako na watu wale Security wa TAA ndo kabisa usipowapa hela wanaweza ficha hata document zako zisiondoke na mzigo.
Bila kuwa na Elfu 50 mpaka 70 kwa shipment moja huwezi kupata msaada wa haraka na hiyo hela lazima uitoe maana usipoitoa ujue kazi yako italala au watafanya taratibu ili uchelewe ndege na mzigo wako ubaki.
Especially kwa mizigo ya perishable kama Nyama, Matunda na Mbogamboga.
Mamlaka husika zifanye kuweka kambi zitabaini jinsi rushwa ilivyoshamiri Airport Dar.