Maafa na majeruhi baada ya bomu kulipuliwa msikitini Afghanistan

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,228
50,370
Hawa nao ndio sijawahi kuwaelewa, wote dini moja ila wanampigania 'mungu' mmoja na kuishia kulipuana hata kwenye misikiti, IS dhidi ya Mataleban.....

A blast went off on Wednesday at a mosque near Afghanistan's Interior Ministry, the Taliban said.

Interior Ministry spokesman Abdul Nafi Takor said that "visitors and some of the employees of the ministry” were praying at the mosque in Kabul when the blast went off.

640CEEF5-D524-460F-B024-519BEEFCC8E4.jpeg

What do we know about the blast?​

The Italian NGO Emergency, which operates a hospital in Kabul, tweeted that its surgical center had received 18 injured and two bodies following the blast. The organization said this was the 23rd mass casualty the hospital has handled so far this year.

The NGO said that the eruption at the mosque was caused by a suicide attack, and that some of the injured had reported seeing a man detonate a device before the blast.

It was not immediately clear who was behind the attack. Similar attacks have in the past been claimed by the Islamic State (IS), which declared war on the Taliban in 2015 and has stepped up attacks since the group took over Kabul last year following the withdrawal of US-led international troops.

Last week, a suicide bomb went off at an education center in the Afghan capital, killing dozens. The Taliban said there had been 25 casualties from the attack, but according to other reports the death toll could be as high as 52.

The attack on Friday targeted girls from the Hazara ethnic group of central Afghanistan, which predominantly follows Shiite Islam. The Sunni Taliban has historically expressed animosity towards the group, but has promised to protect minorities since taking power in the country.

sdi/sms (AP, AFP, Reuters, dpa)

MSN
 
Dunia ina watu, na watu feki!

Ukitaka kujua watu na watu feki, hupati shida kufahamu,

Na hizo balagashia zichunguzwe aisee, huwenda hutengezwa Kwa njia ya kawaida kabisa, ila shida ikawa yule mtengenezaji huweka nini humo?

Mbona wenye kuzivaa hizo wanaongoza Kwa kujilipua na kuuwa wengine! Huo ndio ufeki wa mtu
 
View attachment 2378010

Ndio maana kila siku tunawaambia hao watu ni wapuuzi hawapiganii dini na dini haitaki hivyo ila mnakaza mafuvu..
 
Hao ndio waislamu haswa ambao wanafuata mafundisho ya kiislamu, nyie wengine mumedandia tu, kuna sehemu nilisoma kwamba muislamu yeyote ambaye hafanyi mauaji kwa wasio waislamu huyo sio muislamu haswa, ni dini ya ajabu ajabu.....tatizo ni pale wapo wenyewe bila Wakristo, wakikosa Wakristo wa kuua wanaanza kuuana wenyewe maana hiyo laana ya mauaji ipo kwenye dini kabisa.

Hivi ni kweli kwenye hicho kitabu chenu kuna haya maandiko..

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Kuna sababu na matokeo hizo aya zinzungumzia matokeo kama ilivyokuwa Mzazi au mwalimu hawezi kumchapa mtoto bila sababu ingekuwa hivyo basi Mayahudi wa madina wangeuwawa wote lakini Mtume Muhammad (SwallaAllahu'aleyhi wa salaam) aliishi na Mayahudi madina mpaka kuingia nao mkataba wa amani.
notes_IMG_20221006_064542.png

Mtu aliyepata mafundisho sahihi ya Uislamu hawezi kuwa kama wao lwanza hata ikiwa vita ya halali ambayo ina kila sababu ya kupiganiwa nayo ina sheria zake sasa ukicheki hao wanaojiita ni wanapigania dini acha tuassume hawafuati kanuni hata Moja wapo Kati ya hizo chini kwanza kwenye hawatikiwi kuuwawa mtu aliye kwenye nyumba ya Ibada iwe kanisa hata msikiti na mtu kujilipua(kujitoa uhai) ni dhambi kubwa sana
1654322536257.jpeg.jpg

Nb: Kuna dini yenyewe na kuna matendo ya watu au kikundi cha mtu na hayo hayawezi kuwa dini mtu anaweza kujua haki akafuta matamanio yake na hasara juu yake
d1d94c3446613053b999ccaafd69b7b04c8602f2_00.jpg

#Nimemaliza#Kwaheri
 
Mungu anakuagiza kumwangamiza asiye wa imani yako. Amekukosea nini? Kisa ana imani tofauti tu na wewe?

Dini, dini!!!

........ alipora mke wa mwanaye. Dini, dini. Dini.
 
Kuna sababu na matokeo hizo aya zinzungumzia matokeo kama ilivyokuwa Mzazi au mwalimu hawezi kumchapa mtoto bila sababu ingekuwa hivyo basi Mayahudi wa madina wangeuwawa wote lakini Mtume Muhammad (SwallaAllahu'aleyhi wa salaam) aliishi na Mayahudi madina mpaka kuingia nao mkataba wa amani.View attachment 2378415

Mtu aliyepata mafundisho sahihi ya Uislamu hawezi kuwa kama wao lwanza hata ikiwa vita ya halali ambayo ina kila sababu ya kupiganiwa nayo ina sheria zake sasa ukicheki hao wanaojiita ni wanapigania dini acha tuassume hawafuati kanuni hata Moja wapo Kati ya hizo chini kwanza kwenye hawatikiwi kuuwawa mtu aliye kwenye nyumba ya Ibada iwe kanisa hata msikiti na mtu kujilipua(kujitoa uhai) ni dhambi kubwa sanaView attachment 2378419

Nb: Kuna dini yenyewe na kuna matendo ya watu au kikundi cha mtu na hayo hayawezi kuwa dini mtu anaweza kujua haki akafuta matamanio yake na hasara juu yakeView attachment 2378421
#Nimemaliza#Kwaheri

Haya mavitu una-copy paste na kutumia nguvu nyingi hayajajibu swali langu, wala hata sihangaiki kuyasoma, je kuna hizo aya kwenye hicho kitabu chenu zinazoamrisha mauaji kwa wasio waislamu?? Unahangaika kama mlivyohangaika kujaribu kuhalalisha alichokifanya muhammed kugegeda katoto ka miaka 9, mkaweka copy paste humu ila ukweli ukabaki ule, je alifanya au hakufanya.
Siku mkianza kutumia akili vizuri mtagundua waarabu waliwaingiza kwenye mkenge wa ajabu ajabu kuja kutulipukia mabomu huku.
 
Hakuna mtua atakaa kukuelewa..ili hali matendo yenu ya ukatili chuki utengano na mauaji ndio yanawatangaza vyema kupitia nchi zenu na jamii zenu za kiislamu.

Duniani kote sehemu yenye waislamu wengi ni mauaji na vilio kila siku...kuna shida pahale kwenye hii dini...mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa muumini.

Action speaks louder than words.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Haya mavitu una-copy paste na kutumia nguvu nyingi hayajajibu swali langu, wala hata sihangaiki kuyasoma, je kuna hizo aya kwenye hicho kitabu chenu zinazoamrisha mauaji kwa wasio waislamu?? Unahangaika kama mlivyohangaika kujaribu kuhalalisha alichokifanya muhammed kugegeda katoto ka miaka 9, mkaweka copy paste humu ila ukweli ukabaki ule, je alifanya au hakufanya.
Siku mkianza kutumia akili vizuri mtagundua waarabu waliwaingiza kwenye mkenge wa ajabu ajabu kuja kutulipukia mabomu huku.
Jomba hata huvungi. Umepasua pwaaaa!!!

Akikujibu atakuwa na ujasiri wa kujifunika shuka moja na nyoka.
 
Dunia ina watu, na watu feki!

Ukitaka kujua watu na watu feki, hupati shida kufahamu,

Na hizo balagashia zichunguzwe aisee, huwenda hutengezwa Kwa njia ya kawaida kabisa, ila shida ikawa yule mtengenezaji huweka nini humo?

Mbona wenye kuzivaa hizo wanaongoza Kwa kujilipua na kuuwa wengine! Huo ndio ufeki wa mtu
Mbona wavaa rozali wanafungishana ndoa za jinsia moja makanisani huko Uingereza!?
 
Hao Isis ni magaidi tu
Taliban walizoea kuhifadhi magaidi kisa hawawashambulii miaka ile ya Mullah Omar. Sasa ISIS ni magaidi wapinzani wa Taliban hapo ndio wanaelewa ugaidi sio kitu kizuri. Wao kabla hawajaitoa serikali mwaka juzi walikuwa wanajilipua kama kawaida.

Kujilipua ni utamaduni kwao, sisi ndio tunauita ugaidi
 
Back
Top Bottom