Wabari zenu wanajukwaa.
Nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu maafa ya tetemeko yaliyotokea kagera ikiwa na ukaribu wa taarifa kwa waathirika wa janga hili.
siku za hivi karibuni nimesikia matamshi ya viongozi wa wilaya na mkoa wa kagera wakisema misaada inayotelewa. Kipaumbele kikubwa kitapewa kwa taasisi za serikali yaani shule..vituo vya afya na miundombinu mingine...kauli hizi ni za kusikitisha kwani misaada iliyotolewa ilitakiwa kugawiwa kwa waathilika wote kwa usawa. Na isitoshe serikali iliwahi kusema tetemeko la ardhi halikuletwa na serikali... hivyo nilitegemea serikali ijenge miundombinu yake kwa pesa zake yenyewe na michango ya wasamaria itolewa kwa wananchi walioathilika kwanza.