Hii tabia iliyojitokeza kwa watawala kuwa chagua makada wa chama chao walio kataliwa na wananchi kwenye chaguzi mbali mbali,na kuwapa vyeo vya udc na u das ni kuwalazimisha wananchi kuongozwa na watu walio wakataa, hii itawavunja moyo wa kujitolea wananchi kwani wanakuwa wanafanya kazi kwa watu wasiyo wakubali