M&E Personal

themanhimself176

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,804
2,827
Waungwana anae hitaji mtu wa M&E haswa katika project za kilimo na natural resources anapatikana.

Uzoefu wa zaidi ya miaka 2 katika planing, design m&e methodology, execution,na reporting writing and other findings.

Uzoefi wa international NGOs upo pamoja na ku-training team ya M&E.

Elimu masters of arts in M&E Open University (On-going).

Nimeshindwa kuweka full CV ila niamini jamaa yuko vizuri, anapatikana hata kwa interview za hapa na pale.

Shukrani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom