Luhaga Mpina: Serikali iliahidi kuleta Mikataba ya IGA ya DP World Bungeni lakini mpaka sasa hamna kitu!

Hao wote wapo kundi hili sample yao hi hawa makada hawaelewi kitu
images (2).jpeg

163192.jpg
 
CCM wote ni mabandindu hakuna mtu msafi anaweza kuwa CCM hata Mpina ni bandidu
 
MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??.

Hata Ahadi yao wenyewe wameivunja??

Mzee Wassira Sasa hapa utamtetea nani?.
Kamatia hapohapo
Usimung'unye wala kutema!!
 
Back
Top Bottom