Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
25,565
78,053
Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo.

Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA.

Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
 
Ni wazi zuri ingawa jamaa anatapatapa sana kutaka kumharibia flani......nashangazwa tu na ukimya wake katika kipindi flani
 
Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo.

Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA.

Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
Nakumbuka mzee warioba alipomaliza kuwasilisha rasimu ya katiba mpya; wabunge wa ccm wengi walisimama na kumpongeza.Sijui kilitokea nini baadaye hawa jamaa kuweka mpira kwapani.Hakuna ushahidi kwamba k/mpya ndiyo kushinda uchaguzi kwa chadema au ccm bali ni ushindi wa maamuzi ya wananchi
 
Back
Top Bottom