L lugano tomas Member Jun 5, 2016 8 1 Jul 29, 2016 #1 Et wadau kuna waraka wwto upo toka nacte kwamba mtu yyte mwenye 4 ya 26-29 akutaka kusomea ualimu mpaka asome kozi yyte ile ya certificate ndo aply ualimu?
Et wadau kuna waraka wwto upo toka nacte kwamba mtu yyte mwenye 4 ya 26-29 akutaka kusomea ualimu mpaka asome kozi yyte ile ya certificate ndo aply ualimu?
Madihani JF-Expert Member Apr 30, 2015 6,022 6,800 Jul 29, 2016 #2 Hakuna kitu kama hicho. Sifa ni division 1-3. Kama huna sifa usisome ualimu.