A
Anonymous
Guest
Katika halmashauri ya jiji la Mwanza wilaya ya Nyamagana, kata ya Luchelele mtaa wa Silivini mji mdogo wa( Nyamalango) kumekuwa na tabia ya viongozi wa mazingira kutoshughulika na majukumu yao hali inayopelekea takataka kutupwa katika barabara za mitaa.
Taka kuwekwa maneo holela ambayo sio rasmi (dampo), katikati ya makazi ya watu na kusababisha harufu kali na mbaya katika mazingira, nzi na wadudu.
Hivyo tunaomba Serikali iweze kuingilia suala hili kwani itakapofika majira ya mvua kunyesha kutakuwa na uwezekano wa milipuko ya magonjwa ya kipindupindu na kichocho.