singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Wanatafutwa watu hapo soon yule aliyekimbia kwao na Chekacheka watewekwa hadharaniHiyo ni zuga tu!Ana waswaga hao,ila lengo lake aje,amtaje Rais Mwena Sana,kuwa nae amehusika na kashfa kama Mv Dar,na n.k!angesema atawataja wa CCM peke yake,mngehoji "mbona sumaye na lowasa huwataji?"
Wewe unaakili sana Mkuu.Hiyo ni zuga tu!Ana waswaga hao,ila lengo lake aje,amtaje Rais Mwena Sana,kuwa nae amehusika na kashfa kama Mv Dar,na n.k!angesema atawataja wa CCM peke yake,mngehoji "mbona sumaye na lowasa huwataji?"
Madili ya Chama Cha Majipu (CCM)CDM ni Wapiga dili tu hawana jipya. Wameona hao wazee ni liability kwao watawatosa muda c mrefu. Time will tell keep watching.
Hiyo ni zuga tu!Ana waswaga hao,ila lengo lake aje,amtaje Rais Mwena Sana,kuwa nae amehusika na kashfa kama Mv Dar,na n.k!angesema atawataja wa CCM peke yake,mngehoji "mbona sumaye na lowasa huwataji?"
Kuna zile bilion 251 zilipotea Kwa kuwalipa makandarasi Hewa , pia aliwagawia Mdogo wake na small house nyumba za Serikali , Kama vipi uunzaji nyumba za Serikali upitiwe upya .Magufuli hawezi kupona kashfa za Barabara na Kivuko Chakavu cha bln 7.9 ~ 8. Ndio maana mpaka leo huwezi kumuona kaenda Wizara ya Ujenzi na Tanroads.
Chama Cha Majipu (CCM)
Sasa kuna Richmond mpya ya SukariMadili ya Chama Cha Majipu (CCM)
Escrow
Meli Chakavu
Rada
Kagoda
Meremeta
Richmond/Dowans
Kiwira
Lugumi
EPA
Mabehewa mabovu
Kuuza nyumba za umma
Fidia Samaki wa meli za wachina
Ongezeni wadau...
NSSF , IPTL , ATC , Chenji bunge la katiba , Chenji za pesa za kampeni toka China nk .Madili ya Chama Cha Majipu (CCM)
Escrow
Meli Chakavu
Rada
Kagoda
Meremeta
Richmond/Dowans
Kiwira
Lugumi
EPA
Mabehewa mabovu
Kuuza nyumba za umma
Fidia Samaki wa meli za wachina
Ongezeni wadau...
Naona Mbowe ameshashituka kuwa uamuzi wa kubadilii gia angani haukuwa sahihi, sasa anataka kumtosa Lowassa kiana anamtafutia sababu, kweli siasa ni mchezo mchafu
Nchi hii haitaendelea mpaka watu wenye akili kama zako mfe na kupotea kwenye uso wa dunia. Umeshindwa kumuelewa Mbowe kamaanisha nini? Hii ni aibu kwa jukwaa hili linalojiita home of GT