MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Akina nani mkuu watetezi?Watetezi wa wanyonge
Mwanahalisi/Mawio ni magazeti ya Lumumba?Magazet ya Lumumba
huyu haponi huyu labda akiri na kujicomitMnyika naye watamtimua?
Kikao kilichojadili hatma ya wafanyakazi hao kilifanyika Moshi wikiendi iliyopita. Hawa watu 16 lazima wataondoka CHADEMA. Wakubwa(waliokutana moshi) wanasema ni katika harakati za kubana matumizi.
source: Raia Tanzania
Hilo gazeti mbunge wa UbungoOK, nimeiona hiyo habari kwenye gazeti la Mawio