Baada ya uchaguzi kuisha kwa kushindwa vibaya kwa bwana lusawa zidi ya mpinzani wake jpm kwa sasa kinachooneka ndani ya cdm ni ile hali ya kupotea kwa mvuto wa bwana luwasa ndani ya chama cha chadema
Kwa sasa mzee anaonekana kama mzigo ambao bado wenye chama wanautafakali ni wapi kwa kuutua,
na hii inatokana na harakati za mr ziro za kuutafuta ukatibu kwa ghalama yoyote ikiwezekana hata kumchafua mzee ili yeye aonekane anamvuto ndani ya chama
Pole sana mzee wangu