Lowassa: Kichapo tulichowapa CCM uchaguzi wa 2015 ndio kimewapanikisha

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Aliyekuwa mgombea urais CHADEMA Edward Lowassa amesema kipigo walichopata CCM mwaka 2015 ndio kimewapanikisha na kuanza kufanya mambo kwa fujo na kupiga marufuku mikutano ya vyama ambayo inaruhusiwa kikatiba
Ametaka CHADEMA wasikate tamaa japokuwa wanafanyiwa mambo ili kuwa frustrate ili wasifanye kazi na wadharaulike na hawawezi kukubali

 
Mediocre politics.

Chama chenye 2/3 ya wabunge, madiwani na Urais unasema umekipa kichapo?

Kwenye nchi zingine, uongozi wote wa juu wa CHADEMA ulitakiwa ujihudhuru kwa kushindwa Uchaguzi Mkuu lakini kwetu tunajipongeza kwa kushindwa Uchaguzi Mkuu.

Mbaya zaidi viongozi wakuu wa CHADEMA walituambia kazi yetu ni kupiga kura, ulinzi wa kura tuwaachie wao.

Tanzania nchi ya maajabu kweli!
 
Mh lowasa tupo naye bega kwa bega na daima hatuwezi kuogopa wala kukatishwa tamaa na watawala
 
Naona unaweweseka wewe,mgogoro ndio unazidi kufukuta lumumba na majaliwa yake hayajulikani
 

ACT -walipata chini ya asilimia 1 ya kura na Kiongozi Mkuu mbona hajiwajibishi wakati aliaminisha umma kuwa anaenda kushinda ?
 
Hawa jamaa bwana Hiv akinyamaza ninini kitapungua maneno tu kila siku??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…