Lowassa amnadi diwani wa Kimwani Muleba, asema DC washughulikie suala la njaa wasimuogope Rais

Serikali inaweza kuzuia kupeleka misaada direct kwa raia na ikamtaka mwenye msaada apeleke serikalin an then serikali itagawia raia., maana mtawaliwa siku zote huumia kimyakimya wakati mtawala anakula bata.,
 
Duh.....huo umati ngoja jamaa waje waseme mumeweka Picha za kampeni 2015........nikirudi kwenye kauli ya ma DC kujiamini.......Nina mashaka kama kuna atakayeinua mdomo kusema eneo lake lina njaa.
 
Kama waziri Mkuu mstaafu,lazima DC amsikilize,na kufata maagizo yake
 
Serikali inaweza kuzuia kupeleka misaada direct kwa raia na ikamtaka mwenye msaada apeleke serikalin an then serikali itagawia raia., maana mtawaliwa siku zote huumia kimyakimya wakati mtawala anakula bata.,
Mh! Ipelekwe serikalini tena?........lile show la misaada ya Kagera sidhani kama watu wamelisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…