Lowassa ameona njaa Bukoba ila Monduli hajaiona! Ama ilikuwa technic?

kwamba jamaa ana space occupying lesion kwenye ubongo ambao ni usaha daaaah....
 
Bado wanaendelea na kozi ya kuwajengea ujasiri watu wa arusha..labda ndicho walichochaguliwa nacho..
 
Una data?
 
Hii mijadala ni null and void. HAMNA NJAA! Au iko nchi nzima?
 
Zitto ashasema, kama serikali itaonesha hizo tani mil. 1.5 za chakula, anajiuzulu ubunge. CCM iache kuwalaghai wananchi.
Wewe kwa akili yako mwenyemamlaka ya kumfanya zito asitafu ubunge kwa sasa ni ccm. Hizi akili mnazoamini mnazitoa wapi. Zito kachaguliwa na wananchi na yeye anatakiwa kuwa mtumwa wa wananchi tu na anawajibika kwao na si kwa ccm. Yeye anauwezo wa kufuatilia ukweli wa hill jambo. Maghara ya taifa ya chakula anayajua anaweza kuhoji zaidi na sio propaganda za kipuuzi wanazoleta.
 
yule anakuwa na data feki sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…