Kang JF-Expert Member Jun 24, 2008 5,637 2,476 Mar 30, 2016 #1 http://za.casinorelease.com/tanzani...tteryurhandziwa-ltd-to-build-national-lottery Kampuni ya Murhandziwa kutoka SA imeshinda tenda ya kuendesha lotto ya taifa ya Tanzania ni inategemea kuanza kazi tarehe 4 mwezi wa saba. Kampuni hiyo inaendesha lotto ya Malawi na iliwahi kuendesha moja ya lotto za SA kabla ya kupoteza mkataba huo.
http://za.casinorelease.com/tanzani...tteryurhandziwa-ltd-to-build-national-lottery Kampuni ya Murhandziwa kutoka SA imeshinda tenda ya kuendesha lotto ya taifa ya Tanzania ni inategemea kuanza kazi tarehe 4 mwezi wa saba. Kampuni hiyo inaendesha lotto ya Malawi na iliwahi kuendesha moja ya lotto za SA kabla ya kupoteza mkataba huo.
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,074 3,736 Mar 30, 2016 #2 wafanye lotto za maana kwa maana mtu ashinde like 1 BILLION tsh sio hivi vi lotto vyao vya 100 millions tumezichoka
wafanye lotto za maana kwa maana mtu ashinde like 1 BILLION tsh sio hivi vi lotto vyao vya 100 millions tumezichoka