Looking for University Physics book

mwamini sr

Member
May 30, 2016
27
2
Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
 
Mm nipo b/moyo ila nataraji kufka dar so kama kuna mtu yeyote yupo maeneo hayo itakuwa ni good sana. Na kama unacho brother just tell me how much you sell

Mimi sina, wewe ukifika Dar hiko kitabu huwezi kosa, nenda Posta au Kariakoo kuna maduka ya vitabu au ukiwakuta wale jamaa wanaoweka vitabu chini wanauza watakusaidia, ila inabidi bei elekezi uwe unaijua wasije kukupiga bei.
 
thanks kaka nashukur kwa ushaur wako mzuri
 
Mimi sina, wewe ukifika Dar hiko kitabu huwezi kosa, nenda Posta au Kariakoo kuna maduka ya vitabu au ukiwakuta wale jamaa wanaoweka vitabu chini wanauza watakusaidia, ila inabidi bei elekezi uwe unaijua wasije kukupiga bei.
Hivi wewe unaifahamu UP yenyewe au unaisikia. Hicho kitabu ni cha zamani sana na kinatumiwa sana na wanafunzi wa A level kusoma physics. Hiki sio kitabu cha kutumiwa na 'kil@z@'! Kukipata tafuta mtu aliyewahi kusoma Mzumbe, Iliboru, Kibaha au Tabora boys, Tabora girls na Kilakala...
 
Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
Dogo, kitendo cha kugundua tu kwamba hapa Duniani kuna kitabu kinaitwa University Physics (UP) tayari kunanipa imani kwamba wewe ni kichwa...
 
Hizi ni kauli kama za Rais wetu kumwita mwenzio kilaza, kwani amekwambia anataka kukitumia wapi?

Kwa taarifa yako kuna wale jamaa wanaouza vitabu wanavipanga chini hawashindwi kukupatia kitabu mkuu.

Hata ukitaka cha PHD au cha Uprofesa, we wape Title na Mwandishi, siku mbili haziishi kitabu kitakuwa kimepatikana.
 
Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
mkuu kama wapendelea soft copy tembelea website hizi kudownload vitabu bure
bookzz.org
bookfi
search owe Google then ikifunguka search kitabu unachotaka
 
Mm c mtumiaji saana wa soft copy coz ndo nataraji kuingia form five mwaka huu na hicho kitabu niliwahi kukiona nilipokuwa shuleni mzumbe secondary na nilikifatilia sana na nkakiona kinafaa mkuu
 
UP bonge la kitabu kwa Physics hasa mechanics, tatizo lake ni kwenye baadhi ya maswali kuwa na vipimo vya kizamani.
Utakipata tu mkuu, kwani huko A Level una uhakika havitakuwepo? Shule niliyosoma tuligawiwa kila mmoja cha kwake na kuna watu hawakuvifunua hadi tunamaliza shule.

Hicho kitabu nakifananisha na Titcomb cha Fundamentals of Engineering Science kwa wale waliosoma Technical School (Ifunda, Tanga, Moshi na Mtwara)
 
mimi ninacho kipya kabisa bro...sema utanipa ngapi..ata ukitaka roger and mancaster kipo au nelkon
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…