Looking for my future wife

Kumno

Member
Mar 21, 2018
16
8
Hello my felloe JF Members,

Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,elimu ya shahada ya kwanza,na mwajiriwa,Career-wise iam doing ok, but i think it's about time to meet with my future wife

I would like her awe na umri kuanzia 30-35,awe mrefu,mwili wa wastani,rangi yoyote,akiwa na mtoto mmoja itapendeza zaid,mkristo.

Kama una vigezo hivyo vya awali frrl free to PM me
 
Mkuu, wesubiri huko pm.... Utakapo fungua na ukaona zimeanzia na Hi/Mambo... Basi ujue tayari ndege wameanza kunasa kwenye mtego wako.... tehteehhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom