Habari wana bodi.
Nimekuwa interested sana na biashara ya hardware pamoja na biashara ya workshop.
(a) Workshop
Workshop inaweza kuwa ya woodworks, Aluminium works, PVC works and Welding.
(b) Hardware
Kwa ajili ya kuuza building materials na mbao.
Why partnership?
Ili kuweza kuwa na mtaji mkubwa na kuweza kupunguza individual risks.
Mawazo yangu ni kuanza biashara ikiwa mpya kabisa.
Nakaribisha mawazo. Mimi nipo Dar.
Asante