Inferiority ComplexFikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.
Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?
London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.
Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.
Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:
View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi
Hao watu wa London wanaachia nyani shamba Kuna siku watavuna mabua.
Wavune mara ngapi? Huoni Kila siku maandamano hayaishi mtaani ?Hao watu wa London wanaachia nyani shamba Kuna siku watavuna mabua.
Kanisa la Uingereza hapo Manchester limeana kuadhini badala ya kengele:Inferiority Complex
Watafukuza wageni, hawatoweza kuufukuza Uislam:Ndio inapelekea ujerumani leo inataka kufukuza wahamiaji warudi makwao
Waturuki
Wapakstan
Wafganstan
Wahindi
Warab
Nk...
Wanakimbia nchi zao wameziharibu kwa mikono yao
Wanakimbia kwao wanaenda kuharibu nchi za wengineFikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.
Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?
London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.
Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.
Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:
View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi
MAKOBAZI yote ni MOTONI.London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.
Kufata maneno ya wanasiasa kama huyo ni ukondoo;Hii ndio itafanya Trump achaguliwe tena Marekani,
Uhamiaji holela,