FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,026
- 122,650
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.
Katika jiji la kusifika la London mabadiliko hayo yansikika na kujionesha wazi, zaidi na zaidikila kukicha.
Je, hii inamaanisha jiji la London, Uingereza, kinaandika hadithi ya historia mpya?
London ni jiji ambalo misikiti inaamka na makanisa yanaachwa nyuma na kuzidi kulala usingizi wa kifo.
Takwimu zote zinaonesha Waislamu wanaongezeka na Uislam unazidi kukuwa kwa haraka, si London pekee, bali Ulaya yote.Katikati ya misikiti hii ya London, mabadiliko makubwa yanajionesha dhahiri shahiri. Wimbi kubwa la Mafuriko katika miji ya Uingereza,hasa
jiji la London, uwepo wa Uislam kwa sasa haujifichi tena.
Tukumbuke kuwa jiji la London ni nyumbani na makao makuu ya kanisa mojawapo kuu la Kikristo la Kianglikana. Jionee, London minavyojigeuza na kuwa Londonistan:
View: https://youtu.be/ArXyugJvSsc?si=Hv_HMJe4bTDquLdi