Lodge ya bei nafuu Kariakoo

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,698
6,095
Wakuu, weekend hii naingia Mjini(Kariakoo).. nitakuwepo kama siku tatu hivi.. nahitaji Lodge Affordable inayo-range bei ya 20,000 - 30,000(Isizidi hapa)
Nahitaji connection zenu wakuu ili nisihangaike maana natarajia kufika jioni sana na nitakuwa nimechoka mno.
 
Tafuta hotel inaitwa butterfly iko poa Sana....sema mitaa ya kariakoo kuitaja ndio jau Ila iko karibu na China plaza
 
Wakuu, weekend hii naingia Mjini(Kariakoo).. nitakuwepo kama siku tatu hivi.. nahitaji Lodge Affordable inayo-range bei ya 20,000 - 30,000(Isizidi hapa)
Nahitaji connection zenu wakuu ili nisihangaike maana natarajia kufika jioni sana na nitakuwa nimechoka mno.
USHAURI:Miji ya Tanzania kwa sehemu kubwa inafanana.Ukifika kituoni ushukiapo lazima utakutana na watu wema wa kukuelekeza ukitakacho.Mimi kwa hisia zangu,kuanza kuomba maelekezo tu kwa watu usiowajua au kuwaona kuna hatari zaidi kuliko ukiwa eneo husika.Usinielewe vibaya.Taarifa zako ziwe fiche muda wote.Dunia hii.
 
Asante Mkuu kwa ushauri.. uko vizuri sana
 
Back
Top Bottom