NI WIKI NZIMA SASA TANGU LOAN BOARD WAFUNGUE MAOMBI YA MKOPO KUPITIA OLAS. KINACHOKERA WATU WANATAKA WAWAHI JESHINI HALAF KILA UKIINGIA OLAS UKAWEKA MPESA CODE UNAAMBIWA HAIPO KWENYE. MFUMO WAO.
KAMA LOAN BOAD WAMESHNDWA KUHANDLE APPLICATION ZA MKOPO N KAZI BASI WAPEWE WENGINE MAANA WATU WANA SHUGHULI KIBAO ZA KUFANYA ILA WIKI NZIMA SASA TUNAHAHA NA APPLICATION ZA, MKOPO .
KUWEN SERIOUS DA UNAENDA NA HAKUNA JIPYA.
acha utani wewe utaliwaa,bado hawajafunguaaNI WIKI NZIMA SASA TANGU LOAN BOARD WAFUNGUE MAOMBI YA MKOPO KUPITIA OLAS. KINACHOKERA WATU WANATAKA WAWAHI JESHINI HALAF KILA UKIINGIA OLAS UKAWEKA MPESA CODE UNAAMBIWA HAIPO KWENYE. MFUMO WAO.
KAMA LOAN BOAD WAMESHNDWA KUHANDLE APPLICATION ZA MKOPO N KAZI BASI WAPEWE WENGINE MAANA WATU WANA SHUGHULI KIBAO ZA KUFANYA ILA WIKI NZIMA SASA TUNAHAHA NA APPLICATION ZA, MKOPO .
KUWEN SERIOUS DA UNAENDA NA HAKUNA JIPYA.
hahah itakua,watu wanadanganyk fom iliyopo ni ya mwaka jana 2015/2016 cjui hawaoniwiki sasa duuuu walikupigia simu nini uapply peke yako maana sisi tunajua bado hawajafungua
TAARIFA NI KWAMBA BODI YA MIKOPO BADO HATUJAFUNGUA APPLICATION,Ni wiki nzima sasa tangu Loans Board wafungue maombi ya mkopo kupitia OLAS. Kinachokera watu wanataka wawahi jeshini halaf kila ukiingia OLAS ukaweka mpesa code unaambiwa haipo kwenye mfumo wao.
Kama Loans Board wameshindwa kuhandle application za mkopo ni kazi basi wapewe wengine maana watu wana shughuli kibao za kufanya ila wiki nzima sasa tunahaha na application za mkopo.
Kuweni serious, muda unaenda na hakuna jipya.
TAARIFA NI KWAMBA BODI YA MIKOPO BADO HATUJAFUNGUA APPLICATION,
Bro Umeliwa Chako Kiulaini, HESLB bado Kabisa Hawajaanza Kupokea Maombi yoyote, Na kwasasahivi Hawahusiki na Upotevu Wowote wa Hela Yako.Ni wiki nzima sasa tangu Loans Board wafungue maombi ya mkopo kupitia OLAS. Kinachokera watu wanataka wawahi jeshini halaf kila ukiingia OLAS ukaweka mpesa code unaambiwa haipo kwenye mfumo wao.
Kama Loans Board wameshindwa kuhandle application za mkopo ni kazi basi wapewe wengine maana watu wana shughuli kibao za kufanya ila wiki nzima sasa tunahaha na application za mkopo.
Kuweni serious, muda unaenda na hakuna jipya.
Hawahusiki?? hiyo.hela.ntairudshaje.sasa??.nldhan washafungua.nkalipa30 yangu maana.nna pressure.za kwenda jktBro Umeliwa Chako Kiulaini, HESLB bado Kabisa Hawajaanza Kupokea Maombi yoyote, Na kwasasahivi Hawahusiki na Upotevu Wowote wa Hela Yako.
Hakuna Official Announcement yoyote iliyotolewa na Bodi ya Mikopo ya Kupokea Maombi.
Hiyo Hela Sidhani Kama Utaweza Kuipata Tena, Na Niliposema Hawahusiki Ni Kwamba Hile System ya M-pesa na Airtel-money ndiyo automatically inayokata Hela hata kama si muda wa kuapply.Hawahusiku...?? hiyo.hela n
Hawahusiki?? hiyo.hela.ntairudshaje.sasa??.nldhan washafungua.nkalipa30 yangu maana.nna pressure.za kwenda jkt