Mimi ni Mpenzi wa muziki na nikiwa na nafasi huwa nahudhuria events kadhaa ambazo top artists wa bongo wanaperforme, nimenotice jambo ambalo ni utaratibu ambao sielewi ulianzishwa na nani lakini wasanii karibu wote wameuiga, suala la kuperforme huku bodyguards na videographers wao wakizungukazunguka kwenye jukwaa, hawa watu husababisha unnecessary distractions na huharibu ladha ya performance ya msanii. Jukwaani panastahili kuwepo msanii, back ups , dancers( ikibidi) na wapiga vyombo.
Uwepo wa walinzi na wapiga picha tena wakitembea tembea haina artistic appeal ya aina yoyote.
Performances za wenzetu kama kina cold play, imagine dragons hata wanaija tu kina burna boy et al, ni mfano tosha. Wasanii wetu jifunzeni