Lisu hajui katiba ya Chadema katiba haitoi ukomo wa kiongozi na yeye kama kiongozi alipitisha kwenye vikao

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
5,970
11,961
Lisu hajui katiba ya Chadema katiba haitoi ukomo wa kiongozi na yeye kama kiongozi alipitisha kwenye vikao akiwa mmojawapo wajumbe

Sasa anaposema ohh Mbowe kakaa sana atoke ana maana gani? Kwa kipengele kipi cha katiba ya Chadema ? Anaropoka tu bila ushahidi wa kikatiba huku katoa mimacho 8tadhani anasema kweli kunbe anakazia uongo wake

Binafsi nilishamjua Lisu nikiona kuna mahali anaongea kwa jaziba na kutoa mimacho sana najua hapo ndipo uongo wake umelalia na kujita pointinza uongo zinakuwa hapo

Msingi wa Uchaguzi wa Chadema ni katiba ya Chadema sio mihemko ya Lisu
 
Lissu kuutaka uenyekiti ndy imekuwa nongwa!
Hamtaki mbowe achuane na lissu

Ova
 
Nongwa kaanzisha yeye Lisu kwa kusema mwenyekiti kakaa sana aondoke wakati katiba inaruhusu agombee
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Lissu kuutaka uenyekiti ndy imekuwa nongwa!
Hamtaki mbowe achuane na lissu

Ova
Wafuasi wa Lisu ndio hawataki Mbowe agombee.Wanataka aachiwe kiti.Hawataki demokrasia ifuate mkondo wake.Kwani kwa miaka 21 Mbowe alikuwa anajichagua mwenyewe. Si alikuwa anachaguliwa na wanachadema kwenye chaguzi halali?
Vipi leo iwe nongwa yeye kutumia haki yake ya kikatiba kugombea tena?
 
Back
Top Bottom