List ya wasanii wa WCB (wasafi) ambao hawana nyota ya kukubalika

Charlez kanumba

Senior Member
Nov 2, 2024
189
478
1.... D voice
Huyu alisainiwa ktk lebo ya wcb na diamond kwa mkwala mkubwa sana ikiwemo kualikwa viongozi, wanasiasa n.k, lakini nyota yake ni kama imefunikwa na mawingu, hana tofauti na wasanii wengine underground walio nje ya wcb.

2....Lava Lava
Huyu alihit sana mwaka 2017 baada ya kujoin ktk lebo ya wcb lakini baada ya hapo amekuwa hasikiki sana kama kipindi cha nyuma, na kila nyimbo anayotoa inabuma

3...Qeen darlin
Huyu hajulikani kabisa yupo wapi haina haja ya kuelezea.

**Lebo ya WCB ambayo inamilikiwa na Diamond Platnumz a.k.a Simba ni lebo inayo fanya vizuri kimuziki na ina ina takribani wasanii saba(7). Lakini ina wasanii wachache ambao wanafanya vizuri na kuiwakilisha vizuri lebo hiyo ambao ni DIAMOND, ZUCHU & MBOSSO KHAN.
 
1.... D voice
Huyu alisainiwa ktk lebo ya wcb na diamond kwa mkwala mkubwa sana ikiwemo kualikwa viongozi, wanasiasa n.k, lakini nyota yake ni kama imefunikwa na mawingu, hana tofauti na wasanii wengine underground walio nje ya wcb.

2....Lava Lava
Huyu alihit sana mwaka 2017 baada ya kujoin ktk lebo ya wcb lakini baada ya hapo amekuwa hasikiki sana kama kipindi cha nyuma, na kila nyimbo anayotoa inabuma

3...Qeen darlin
Huyu hajulikani kabisa yupo wapi haina haja ya kuelezea.

**Lebo ya wcb ambayo inamilikiwa na diamond Platnumz a.k.a simba ni lebo inayo fanya vizuri kimuziki na ina ina takribani wasanii saba(7). Lakini ina wasanii wachache ambao wanafanya vizuri na kuiwakilisha vizuri lebo hiyo ambao ni DIAMOND, ZUCHU & MBOSSO KHAN...
Dawa lazima waende Marekani kwanza.
Huwezi kuhit tu kimasihara
 
Back
Top Bottom