Pre GE2025 Lissu ukishinda Uenyekiti CHADEMA Taifa pitisha Ubatizo wa utakaso kwa Wala Rushwa wote ndani ya chama...

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
27,377
65,909
Mpo salama!

Ni hakika Kesho Lisu anashinda.

Ubatizo wa Utakaso "Baptism of purification" ndio Jambo pekee ambalo Lisu itampasa aanze nalo.

Hakuna haja ya kugombana, kuvunja Chama. Mshindi amepatikana sasa ni Muda wa kuwekana Sawa.

Wale wenye shutuma za Rushwa na waliofanya Rushwa wafanyiwe Ubatizo wa utakaso. Wazaliwe Upya.

Mbowe asikatae Kubatizwa kwa Sababu hata Yesu alibatizwa, na Yohana mbatizaji alitaka kubatizwa na Yesu licha ya kuwa Yohana ni mbatizaji kitambo.

Lisu Mbatizaji
Lisu the baptist

Tunasubiri
 
Back
Top Bottom