Lissu punguza ukali wa maneno unapoita jina la Rais Samia

Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
1,142
1,546
Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?

Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?

Machawa wa Lissu saidieni hili
 
Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina?Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?Machawa wa Lisu saidieni hili
Mmezoea kudanganywa na kuukubali uongo, hamchoki?
 
Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina?Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?Machawa wa Lisu saidieni hili
Matumizi mabaya ya hasira
 
"Goli la mama"

Mbona kwenye kusifia watu wanamuita Mama na hakuna mtu aliyewahi kujitokeza kukemea jina hilo na kutaka wamuite kwa Cheo chake cha Mheshimiwa Raisi?a za kusifia na kumuabudu muaji wa raia wasiokua na hatia kwishne
 
Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?

Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani?

Machawa wa Lissu saidieni hili
Bahati mbaya sana kuwa haujui heshima kubwa kwa mwanamke ni kumuita kwa jina la mwanae mkubwa au baba yake hasa wasukuma na wanyamwezi akina ngwanashija. Unaposikia mtaani kwako majina ya mamaasha, mamasaidi, mamaabduli si bahati mbaya, huo ni utamaduni.
 
Yupo sahihi!lugha kificho!saw na Dikteta uchwara!hasta kimahakama huwezi mshitaki kwa personality assassination!
 
Mleta hoja umemuuliza swali mjarabu kabisa kwanini lissu ataji majina kamili ya huyo anaye muita Abdul kama tuhuma ni yakweli anashindwa nini kumtaja majina yote ya huyo ABDUL kunanini nyuma ya paZia
 
Bahati mbaya sana kuwa haujui heshima kubwa kwa mwanamke ni kumuita kwa jina la mwanae mkubwa au baba yake hasa wasukuma na wanyamwezi akina ngwanashija. Unaposikia mtaani kwako majina ya mamaasha, mamasaidi, mamaabduli si bahati mbaya, huo ni utamaduni.
Umeshasema mtaani mazee,huyo head figure ya nchi yetu,anatakiwa kuwa addressed kama kiongozi mkuu wa nchi,anachofanya Lisu ni dharau tu za waziwazi.
 
Back
Top Bottom