Lissu ndiye muasisi wa "Samia must go" kakwaa kisiki na sasa kaanzisha "Mbowe must go". Je ataweza?

hewamkaa

Member
Mar 30, 2023
85
127
Wakati huo tulishuhudia CHADEMA wakisema "Samia must go". Alitamka Mbowe, lakini ni wazi wazo hilo, liliasisiwa na Lissu. Ni Lisu ambaye kazoea kutumia maneno makali makali. Maneno makavu makavu. Mbowe yeye amejaa charisma.

Sasa Lisu kafeli kwa Samia. Kaangukia pua. Anajaribu kwa Mbowe. Ni wazi hatafanikiwa. Lisu ana wivu:-
1. Anaona kama Mbowe anajidai na hela zake.
2. Anapenda sana kuonekana anaidhinisha idhinisha madokument kama Mwenyekiti.
3. Ameonyesha kujitenga na maamuzi ya vikao halali vya chama. Huyu ni dikteta.
4. Huyu Lissu ndiye anaendelea kutoa siri kwa Msigwa.
5. Lisu, ana uchungu wa kupigwa risasi ambao anataka kuugeuza uwe uchungu namba moja wa chama.
6. Huyu Lisu ana msongo. Akiongea lazima ataje ufupi wa mguu wake na risasi ya ubavuni.
7. Kaanza kuvaa bullet proof ili apate huruma ya wananchi. Anavuta attention ya huruma.

Muangalieni sana Lisu, atakwenda kwa Msigwa, tutake tusitake. Ndio maana ya matishio yote haya. He is holding the Party ar ransom. Kumbuka alisema, akikosa uenyekiti, hakutakuwa na wa kumnyamazisha.
Kifupi, Lisu hana nia njema na Chadema
 
Wakati huo tulishuhudia CHADEMA wakisema "Samia must go". Alitamka Mbowe, lakini ni wazi wazo hilo, liliasisiwa na Lisu. Ni Lisu ambaye kazoea kutumia maneno makali makali. Maneno makavu makavu. Mbowe yeye amejaa charisma.

Sasa Lisu kafeli kwa Samia. Kaangukia pua. Anajaribu kwa Mbowe. Ni wazi hatafanikiwa. Lisu ana wivu:-
1. Anaona kama Mbowe anajidai na hela zake.
2. Anapenda sana kuonekana anaidhinisha idhinisha madokument kama Mwenyekiti.
3. Ameonyesha kujitenga na maamuzi ya vikao halali vya chama. Huyu ni dikteta.
4. Huyu Lisu ndiye anaendelea kutoa siri kwa Msigwa.
5. Lisu, ana uchungu wa kupigwa risasi ambao anataka kuugeuza uwe uchungu namba moja wa chama.
6. Huyu Lisu ana msongo. Akiongea lazima ataje ufupi wa mguu wake na risasi ya ubavuni.
7. Kaanza kuvaa bullet proof ili apate huruma ya wananchi. Anavuta attention ya huruma.

Muangalieni sana Lisu, atakwenda kwa Msigwa, tutake tusitake. Ndio maana ya matishio yote haya. He is holding the Party ar ransom. Kumbuka alisema, akikosa uenyekiti, hakutakuwa na wa kumnyamazisha.
Kifupi, Lisu hana nia njema na Chadema
IMG-20241219-WA0021.jpg
 
Hizi propaganda chafu dhidi ya lissu kugombea uenyekiti wa chadema zimetuchosha ila acha tuzipangue tu, hakuna namna
 
Wakati huo tulishuhudia CHADEMA wakisema "Samia must go". Alitamka Mbowe, lakini ni wazi wazo hilo, liliasisiwa na Lissu. Ni Lisu ambaye kazoea kutumia maneno makali makali. Maneno makavu makavu. Mbowe yeye amejaa charisma.

Sasa Lisu kafeli kwa Samia. Kaangukia pua. Anajaribu kwa Mbowe. Ni wazi hatafanikiwa. Lisu ana wivu:-
1. Anaona kama Mbowe anajidai na hela zake.
2. Anapenda sana kuonekana anaidhinisha idhinisha madokument kama Mwenyekiti.
3. Ameonyesha kujitenga na maamuzi ya vikao halali vya chama. Huyu ni dikteta.
4. Huyu Lissu ndiye anaendelea kutoa siri kwa Msigwa.
5. Lisu, ana uchungu wa kupigwa risasi ambao anataka kuugeuza uwe uchungu namba moja wa chama.
6. Huyu Lisu ana msongo. Akiongea lazima ataje ufupi wa mguu wake na risasi ya ubavuni.
7. Kaanza kuvaa bullet proof ili apate huruma ya wananchi. Anavuta attention ya huruma.

Muangalieni sana Lisu, atakwenda kwa Msigwa, tutake tusitake. Ndio maana ya matishio yote haya. He is holding the Party ar ransom. Kumbuka alisema, akikosa uenyekiti, hakutakuwa na wa kumnyamazisha.
Kifupi, Lisu hana nia njema na Chadema
Mbuyu unang'oka
 
Back
Top Bottom