Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,496
- 16,732
Kuna kila dalili kwamba Lissu akaondoka Chadema Muda wowote kuanzia sasa..
Nimekuwa nikifuatilia muenendo wa muda mrefu kati ya Lissu na Chama chake ni kama wameparanganyika..
Lissu ana support ya watu wanaojiita "Sauti ya Watanzania" kundi la wanaharakati ambao wanajipambanua kwamba wapo upinzani lakini kiuhalisia ni kama wana malengo tofauti sana na Maslahi mapana ya nchi.
Ukifuatilia kwa makini kabla Msigwa hajaondoka Chadema kwenda CCM mara ya mwisho kabisa alikuwa na Lissu.
Lissu anaulizwa kuhusu kuondoka Msigwa CHADEMA anasema ni "pigo kubwa"... At the same time, Msigwa anakesha kupasua chama chake na Kumbagaza Mwenyekiti wake.
Lissu ni mtu makini sana, lakini kuifuata njia ya Dr Slaa kutampoteza big time.
Wanaazi wa CHADEMA wanajaribu sana kum cover Lissu, ila makundi ya Lissu yametoka hadharani kupambana na Mbowe na CDM..
Bahati mbaya wanaomdanganya Lissu hawana wafuasi, hawajulikani na hawana political capital..
Ni suala la muda pekee, lakini Lissu anaungwa sana mkono na Kina Slaa, Mwabukusi, Mwakitwange, Lifeof Mshamba etc.
Lissu amekuwa akijificha kwenye harakati nyingi za chama hivi karibuni kwa kuwasikiliza hao watu.
Tusubiri tuone..