I freeman aikael mbowe I proud to work hard for my people, fighting a winning battle till the last drop of my blood with honour & pride to make sure the long run of facizim come to an end
Mkuu, athari ya "udikteta" wa Mbowe ni ya siku za usoni.Hili gazet na ww mleta mada , mnakili Magufuri ni dikiteta ila safari hii mnamringanisha na madicteta wenzake. Sawa mimi nakubali mbowe ni dicteta lakn hana athari kwangu maana sio mwanachama wao. Hapa tunamwongelea rais wa nchi , unapomringanisha na mtu mwingine haisaidii maana wananchi hatutaki rais dicteta. Huyo mbowe na nan kwa wananchi?? Au ww binafsi mbowe kakuathiri nini??
RUZUKU ni nini!? Acheni kujitoa fahamu. Jibuni mada kwa hoja na sio viroja.Ujinga ni kudili na dikteta Mbowe ambaye hakusanyi kodi za wananchi na kumuacha Dikteta yule ambaye kasababisha bei ya sukari kupanda, mikopo kukosekana, uhuru wa maoni mfukoni n.k
Kwa hiyo unakiri kwamba mbowe wenu kweli dikteta. Ukweli ukizungumzwa kampeni ushauli maana yeye ni mgumu kuachia madaraka na cdm Hamna kauli juu yake mnajua mkiongea anawamaliza kisiasa,wapi chacha wangwe,wapi zito, wapi Ben sanane wapi jamaa wa tabora aliyegomveaga nae uenyekiti akamtia fitina nyingi.Udikteta wa maghufuli ndiyo unasababisha umeme kupand, sukari bei juu, wanafunzi kukosa mkopo madawa hospitali hakuna, sasa niambie udikteta wa mbowe umesababisha nini kwa watanzania wote?
Hiyo ruzuku ni kwa ajili ya uendeshaji wa chama na sio kutoa mikopo kwa wanafunzi. Au unajaribu kujitoa ufahamu?RUZUKU ni nini!? Acheni kujitoa fahamu. Jibuni mada kwa hoja na sio viroja.
Kumbe udikiteta wake hauna athari kwa wananchi. Unauhakika kwa sababu anongoza chama cha siasa kinachopigania kushika dola. Ama wewe unawaza kipi kiongozi.Nirukeruke nini wakati sukari bei juu, wanafunzi wamekosa mikopo na hospitali dawa hakuna sasa utamlinganisha vipi mtu ambaye hata akifanya udikteta vipi hukosi mahitaji yako
Unaongelea nyakati za mfumo wa chama kimoja kaka. Hivi hujui zama zimebadilikaMbowe kiboko ya CCM, Huyo Ni kamanda wa Anga, CCM Mkisikia jina la MBOWE mnakuwa kama mmepigwa short ya umeme. NYERERE alikuwa Mwenyekiti wa Ccm kwa zaidi ya miaka 25,Kwa akiri yako ya chini unaweza kusema NYERERE naye tumuweke kwenye kundi la Madikiteta????.
6m votes 2015... Madhira wananchi wanayopata 2020 kura zitaongezeka 11+....ila hatutaki mambo ya GambiaChadema ni chaka la wanafiki
Kwa hiyo unakiri kwamba mbowe wenu kweli dikteta. Ukweli ukizungumzwa kampeni ushauli maana yeye ni mgumu kuachia madaraka na cdm Hamna kauli juu yake mnajua mkiongea anawamaliza kisiasa,wapi chacha wangwe,wapi zito, wapi Ben sanane wapi jamaa wa tabora aliyegomveaga nae uenyekiti akamtia fitina nyingi.
Kumbe udikiteta wake hauna athari kwa wananchi. Unauhakika kwa sababu anongoza chama cha siasa kinachopigania kushika dola. Ama wewe unawaza kipi kiongozi.
Tutafika huko tuliza mzuka ngoja kidogo tumalizane na udikteta wa SIZONJE
Hujajibu hoja, usifikiri unamshawishi mtu mwenye fikra huru kwa kukwepa hoja.Ujinga ni kudili na dikteta Mbowe ambaye hakusanyi kodi za wananchi na kumuacha Dikteta yule ambaye kasababisha bei ya sukari kupanda, mikopo kukosekana, uhuru wa maoni mfukoni n.k
Are you serions ?Udikteta ni kufanya mambo bila kufuata katiba sasa niambie kitu gani kafanya mbowe kinapingana na katiba ya chadema