Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha political tolerance and maturity kubwa sana