Lissu ana Muku ya kwao hakuna Mtu amewahi kumuweza katika jambo lolote.

Lissu ana Muku ya kwao hakuna Mtu amewahi kumuweza katika jambo lolote.

SSH kuwa makini Sana.
Indio maana wamechanganyikiwa sana
IMG-20250421-WA0002.jpg
 
Lissu ana Muku ya kwao hakuna Mtu amewahi kumuweza katika jambo lolote.

SSH kuwa makini Sana.
Labda hawezekani huko unyumbuni kwenu, hapa Tanzania ni unyoya tu huyo anayeweza kupeperushwa muda wowote tutakao.
Katika miaka yake inayokaribia sitini Sasa, ameshinda nini' Cha maana na ana mafanikio gani?!!!!
 
Back
Top Bottom