LGE2024 Lissu Alitaka CHADEMA Ishinde uchaguzi Kupitia Kura ya Nani Wakati yeye Mwenyewe Hakupiga Kura?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
26,034
19,079
Ndugu zangu Watanzania,

Unajua kuna watu na wanasiasa hapa Nchini wanaweza kufikiri watu wote ni wajinga kama wao au watu hawana akili au watu hawajitambui au watu ni Manyumbu au kufikiria labda watanzania ni vichaa na mambumbumbu.

Hivi inaingia vipi akilini kwa mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema akamsikiliza lissu na malalamiko yake juu ya uchaguzi au kusikiliza kauli za kilaghai za watu aina ya lissu akiwadanganya wafuasi wake kuwa CHADEMA itashinda uchaguzi? Chama kitashinda vipi uchaguzi wakati viongozi aina ya lissu ndio wakwanza kutokupiga kura?

Nani atakipa kura chama ili kishinde? CHADEMA itashindana vipi na CCM iliyo fanya hamasa kubwa ya kuwataka wanachama,wafuasi na wakereketwa wake wakajiandikishe kwenye daftari la mpiga kura na kuipigia kura CCM katika sanduku la kura?

CHADEMA hii ya lissu itashindana vipi na CCM ambayo wanachama wake walikuwa wakipitiana majumbani kupelekana vituoni kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi? Vipi CHADEMA inaweza ishinda CCM hii ambayo muda wote ilikuwa ikizunguka kwa wananchi kusikiliza kero zao,kutoa majibu na kutatua kero zao?

Vipi CHADEMA hii ya lissu asiyepiga kura ikapata ushindi mbele ya CCM ambayo wanachama wake waliinuka kwa wingi kwenda kupiga kura asubuhi na Mapema wakati yeye Lissu amelala zake nyumbani kwake? Huo ushindi kwa CHADEMA utatoka wapi? Kwa miujiza ipi?

CHADEMA hii ya lissu iliyokuwa ikiokoteza wagombea dhaifu inaweza vipi ishinda CCM ambayo ilikuwa na maelfu ya wagombea waliojiandaa kisawasawa na kwa sera nzito nzito kuomba uteuzi wa chama? CHADEMA hii ambayo ilikuwa haina uwezo hata wa kupiga kampeni nchi nzima inaanzia wapi kuishinda CCM katika sanduku la kura hata kama ingetokea tume ya uchaguzi kutoka Marekani kuja kusimamia uchaguzi huu?

CHADEMA hii isiyo na viongozi wala ofisi wala uongozi ngazi za chini huko inaweza vipi ishinda CCM yenye mtandao wa uongozi mpaka huko vitongojini?

Halafu bila aibu wala haya unaona mtu anajibetua mdomo wake na kusema kuwa CCM imeiba uchaguzi. imeiba kutoka wapi wakati hata kura huna? Hapo hapo mtu kama zito aliyefirisika kisiasa anasema eti wawasusie viongozi hawa waliochaguliwa .

Unaweza vipi msusa mwenyekiti wa mtaa? Utapata wapi barua ya utambulisho unapotaka barua yoyote ile kwa mtendaji wa kata au mtaa wako?utapata wapi barua ya utambulisho unapotaka kumwekea mdhamana ndugu yako huko polisi ambapo ukienda kwa mtendaji wa mtaa atakutaka uwe na barua ya utambulisho? Utapata wapi barua ya utambulisho ukitaka kufanya biashara yoyote ile wakati unafuatilia leseni yako halmashauri? Ukienda kwa mtendaji wa mtaa ni lazima uwe kwanza na barua ya utambulisho mkononi mwako.

Sasa utawasusa vipi watu hawa? Kwa ufupi ni kuwa viongozi wetu hawa wa mitaa na vijiji ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu.

CCM ni Mbele kwa mbeleeeee.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Stupid
 
Kupitia watu kama wewe na wengine wenyeimani maono na misimamo inayofanana na yako wa kutoka ndani ya chama kisicho amini katika uhuru na haki na kwa kufanya hivyo itamaanisha mmekubali habari yauhuru haki,uzalendo wa kweli na tunayoiita ni demokrasia kwa mazingira yetu.
 
Lisu na Machadema wengi Huwa ni majinga Fulani hivi 😁😁

Harafu Kuna manyumbu watakuja kutukana
 
Lisu na Machadema wengi Huwa ni majinga Fulani hivi 😁😁

Harafu Kuna manyumbu watakuja kutukana
Wewe sasa na luca ndio mnao hitajiwa zaidi na chadema kama alivyohitajika mchungaji,akina mwita na slaa ,sasa karibuni upande wa pili iwapo kweli mna nia ya ujenzi wa kweli wa taifa letu.
 
Lucas Kuna wakati Unapeleka Wapi Akili?
Kwahyo Lissu Alikuwa Na Ruhusa ya Kupiga Kura Tanzania Nzima Kila Kitongoji??

Au Alikuwa Na Kura Ya Veto Nchi nzima??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…