Wakuu habari,
Kimsingi mimi siyo mjuzi wa mambo ya kisheria kabisa.
Naona tangu suala la uchaguzi wa TLS lianze na Lissu kutangaza kugombea, naona kuna visa vingi vinapikwa kujaribu kumwekea vikwazo kufanikisha nia yake ya kushinda.
Kwakua nimeshasema mimi siyo mjuzi wa masuala ya kisheria, swali langu ni je, LISSU akishinda ile nafasi, itakua na athari gani kwa utawala huu wa awamu ya tano?
Tusaidiane kueleweshana...